inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mpe 5 mzee mwinyiTanzania Revenue Authority (Mamlaka ya Mapato Tanzania)
Government agency
Description
Description
The Tanzania Revenue Authority is a semi-autonomous Government Agency of the United Republic of Tanzania. It was established by the Tanzania Revenue Act, CAP. 339 in 1995 and started its operations on the 1st of July 1996. Wikipedia
Headquarters: Sokoine Drive, Dar es Salaam
Key document: Tanzania Revenue Authority Act, 1995
Jurisdiction: Tanzania
Founder: National Assembly
Founded: July 31, 1995
Kweli mkuu
Labda kwa kuoa wake wengiMpe 5 mzee mwinyi
Hahahaaaa yule kiongozi,sio mtawalaLabda kwa kuoa wake wengi
Hana loloteHahahaaaa yule kiongozi,sio mtawala
Uko sahihi kwenye hizo SAPKosa kubwa tulilofanya kama nchi ni kuzikumbatia sera za kipuuzi na angamivu za SAP hizi ndo zilikua kaburi kwa nchi yetu
Labda tungekomaa na ule ujamaa wa nyerere bila kupinda popote labda leo tungekua tumepiga hatua
Wenzetu China walikomaa na ujamaa na walivyopata matokeo na kufikia mahali pazuri sasa wakaruhusu ubepari sisi tulianguka mapema sana
Sasa hivi hata hatujui tupo kwenye dira gani nashindwa kujua mwelekeo wa nchi yetu kiuchumi ni aibu sana hadi leo tunategemea misaada
Sera za kishenzi za SAP ndo zimetufikisha hapa, alaaniwe aliyeasisi SAP huu ulikua ndo mwisho wa uchumi wa nchi yetu
Imagine ndo anakuambia ushushe thamani ya hela yako ambayo ilikua sawa na dola ya marekani leo hii hiyo dola ndo tunatumia kuagiza bidhaa nje yaani wanatupiga mara 2305 kwa dola moja daaah
Hii nchi sijui kama itakaa iendelee
No nyerere hakutaka kukubaliana na mpango wa Structural Adjustment Program (SAP),shida ni kuwa baada ya vita vya nduli, nchi ilifulia kwerikweri,,, [emoji134][emoji134] kipindi hicho kighoma malima ndo waziri wa fedha,, Nyerere na malima hawakutaka kukubaliana na IMF,, so wazungu wakabana kutoa fedha,Azimio la Arusha liliposhindwa ilikuwa ni kwa sababu ya SAP.Hivi China ni nchi ya kijamaa au ni taifa lenye chama kimoja tu kinachoendesha nchi kitemi.
Hakuna mtu aliyemuwekea kamba shingoni mwenzake kwamba ikubali SAP.Ukweli ni kwamba ni uzembe wa Nyerere kushindwa kujua maigizo ya siasa za kidunia ndio anguko letu.Kwani sisi si ndo wale tunadai tulipambania uhuru wetu 1961.Kama ndio, huo uhuru ulikuwa ukimanisha nini na SAP inakuwaje iwe shida kwa watu walio huru?Anyway,hakuna chochote cha maana tulifanya ata huo uhuru ni chenga tu hakuna cha Bibi Titi wala Mwalimu, ni muda tu ulikuwa upande wetu na mahesabu mabovu ya wakoloni basi.
Wachina siyo wajamaa waleDiscipline ya Wachina katika Ujamaa sisi hatuiwezi. China wabadhirifu wa mali ya umma wawe viongozi wa ngazi yeyote au vibaka wanahukumiwa kunyongwa.
Kama China iliutupa ujamaa ndo ikafanikiwa sisi tungeendeleaje sasa.Kosa kubwa tulilofanya kama nchi ni kuzikumbatia sera za kipuuzi na angamivu za SAP hizi ndo zilikua kaburi kwa nchi yetu
Labda tungekomaa na ule ujamaa wa nyerere bila kupinda popote labda leo tungekua tumepiga hatua
Wenzetu China walikomaa na ujamaa na walivyopata matokeo na kufikia mahali pazuri sasa wakaruhusu ubepari sisi tulianguka mapema sana
Sasa hivi hata hatujui tupo kwenye dira gani nashindwa kujua mwelekeo wa nchi yetu kiuchumi ni aibu sana hadi leo tunategemea misaada
Sera za kishenzi za SAP ndo zimetufikisha hapa, alaaniwe aliyeasisi SAP huu ulikua ndo mwisho wa uchumi wa nchi yetu
Imagine ndo anakuambia ushushe thamani ya hela yako ambayo ilikua sawa na dola ya marekani leo hii hiyo dola ndo tunatumia kuagiza bidhaa nje yaani wanatupiga mara 2305 kwa dola moja daaah
Hii nchi sijui kama itakaa iendelee
True Kule hukumu SAwa kwa wote huku kibaka anafungwa miaka mingi na fisadi analipa faini tena robo ya pesa aliyoiba.Discipline ya Wachina katika Ujamaa sisi hatuiwezi. China wabadhirifu wa mali ya umma wawe viongozi wa ngazi yeyote au vibaka wanahukumiwa kunyongwa.
Huyu mzee ndo maana Mungu kampa uhai mrefu tena namuomba Mola amfikishe miaka 200.Yeye ndo alikuja wakomboa watz na utumwa wa sera za ujamaa zilizowafanya watz wawe mali binafsi ya mtawala kama ilivyo North Korea.Na watz wakaanza angalau kuvaa nguo,kupigia mswaki dawa,kuoga kwa sabuni,kuanza kwenda nchi ya nchi.Mwinyi?
Kosa kubwa tulilofanya kama nchi ni kuzikumbatia sera za kipuuzi na angamivu za SAP hizi ndo zilikua kaburi kwa nchi yetu
Labda tungekomaa na ule ujamaa wa nyerere bila kupinda popote labda leo tungekua tumepiga hatua
Wenzetu China walikomaa na ujamaa na walivyopata matokeo na kufikia mahali pazuri sasa wakaruhusu ubepari sisi tulianguka mapema sana
Sasa hivi hata hatujui tupo kwenye dira gani nashindwa kujua mwelekeo wa nchi yetu kiuchumi ni aibu sana hadi leo tunategemea misaada
Sera za kishenzi za SAP ndo zimetufikisha hapa, alaaniwe aliyeasisi SAP huu ulikua ndo mwisho wa uchumi wa nchi yetu
Imagine ndo anakuambia ushushe thamani ya hela yako ambayo ilikua sawa na dola ya marekani leo hii hiyo dola ndo tunatumia kuagiza bidhaa nje yaani wanatupiga mara 2305 kwa dola moja daaah
Hii nchi sijui kama itakaa iendelee
Hawa akina NAM si ndio akina Singapore,Malaysia,Indonesia....sasa sisi tulikwama wapi? mbona hawa wako mbali kiuchumi? au tulikuwa tunafuata mkumbo na kwenda kama Mazombi.!Halafu ukiacha ujamaa tukakimbilia kujiunga na Non Aligned Movement (NAM) ambayo hatukujua maana yake ni nini tumebaki watembeza bakuli kama Malaya tu kisa hatufungamani na upande wowote wakati wenzetu waliingia NAM wakatumia siasa ya kujitegemea wakakuza uchumi wao vizuri kwa kutumia rasilimali zao na wataalamu wao sisi tunabaki na NAM kama mazuzu tu.
China walianza fanikiwa baada ya liberalisation not before. Unadhani wangebaki closed economy na kubana watu binafsi kumiliki rasilimali wangefika walipofika?Wenzetu China walikomaa na ujamaa na walivyopata matokeo
Yes mbona hata hyo China inashusha thamani ya pesa yake ili ipate advantage ya investors ama hujui kushusha thamani ya pesa kunavutia wawekezaji kama uchumi umedorora?Imagine ndo anakuambia ushushe thamani ya hela yako
Kama hivyo ndivyo, ujamaa hauna tatizo. Au?!China wabadhirifu wa mali ya umma wawe viongozi wa ngazi yeyote au vibaka wanahukumiwa kunyongwa.
Ni haohao, tulijiunga hatukujua wenzetu walikuwa na malengo gani! Walikomaa na wakapata wawekezaji wakubwa kutoka Korea, China, marekani nk. Leo wameendelea within 35 yrs wapo vizuri sana.Hawa akina NAM si ndio akina Singapore,Malaysia,Indonesia....sasa sisi tulikwama wapi? mbona hawa wako mbali kiuchumi? au tulikuwa tunafuata mkumbo na kwenda kama Mazombi.!
china wana apply mixed economy(which is more capitalist than socialist) wao wenyew ujamaa wao ulifeli na zaid ya watu milion 50 walikufa kwa njaa kutokana na kufeli kwa policy mbovu za kisocialist.alvokufa mao akaja rais mpya ambaye aka-liberalise uchumi (yani akau capitalise) kwanzia miaka ya 70 na kuanzia apo ndo CHINA ikaanza kureally develop.kiufupi socialism ni ABOMINATION SYSTEM ambayo at the end of day inapelekea ku-collapse kwa nchi husika mfano USSR ilicollapse kutokana na weakness kibao associated with the system.infact wat u claim to be modern socialism is 75% capitalism kwa mfano kweny socialism hakutakiwi kuwa na mabilionea ambao wanaonexha presence of income inequality but look at china na urusi wana more billioneaz after USA.na iyo ina prove absence of true socialism.Ubepari una faida gn? Unaijua modern socialism lakini?