Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Oct 13, 2016 #1 Mimi huwa nakaa najiuliza sana iv kama baba muumba wetu wa mbinguni asingetuumba tungekuwa wapi saiv nq tungekua tunafanya nini je huko ambako tungekua tungemujua ngosha magufuli na mkwere jk huwa natafakali sana wana ndugu
Mimi huwa nakaa najiuliza sana iv kama baba muumba wetu wa mbinguni asingetuumba tungekuwa wapi saiv nq tungekua tunafanya nini je huko ambako tungekua tungemujua ngosha magufuli na mkwere jk huwa natafakali sana wana ndugu
robby klax JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 283 Reaction score 121 Oct 15, 2016 #2 U a real greater thinkers waza afu utupe jibu..
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 Oct 15, 2016 #3 Mimi huwa najiuliza kabla sijazaliwa nlikuwa najihisi vipi? Huwa najiuliza mara nyingi bila kupata jibu/majibu. Maana nimejistukia tayari nimeshamwagika Duniani
Mimi huwa najiuliza kabla sijazaliwa nlikuwa najihisi vipi? Huwa najiuliza mara nyingi bila kupata jibu/majibu. Maana nimejistukia tayari nimeshamwagika Duniani