Tungekua wapi

Tungekua wapi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Mimi huwa nakaa najiuliza sana iv kama baba muumba wetu wa mbinguni asingetuumba tungekuwa wapi saiv nq tungekua tunafanya nini je huko ambako tungekua tungemujua ngosha magufuli na mkwere jk huwa natafakali sana wana ndugu
 
Mimi huwa najiuliza kabla sijazaliwa nlikuwa najihisi vipi?

Huwa najiuliza mara nyingi bila kupata jibu/majibu.

Maana nimejistukia tayari nimeshamwagika Duniani
 
Back
Top Bottom