SkunkWakazi wa Dar kwa uzembe wenu huo mtakoma. Kama Panya-road wanawasotesha vipi wakianza PAKA-road??
Kuropoka ni rahisi sana ila mnashindwa kufahamu kwamba ongezeko la watu linakuja na changamoto nyingi..Alipokuwa waziri wa mambo ya ndani alitumia mbinu za kishushu kupambana na uhalifu wa kila namna.
Alikuwa akitoa siku saba majambazi kusalimisha silaha na walisalimisha.
Kura za siri zilitumika kufichua uhalifu wa wahalifu wa kila namna.
Nashangaa huyu waziri wa sasa anaongea kama vile anabembeleza wahalifu waache uhalifu.
Rip shushu mbobezi Lyatonga Mrema.
View attachment 2358973
Acha upotoshaji...watu walilala milango wazi usiku kipindi cha joto.Kuropoka ni rahisi sana ila mnashindwa kufahamu kwamba ongezeko la watu linakuja na changamoto nyingi..
Miaka ya kina mrema watu walikuwa wachache kuliko Leo na changamoto za maisha zilikuwa nafuu kuliko saizi..
Sasa kwa nini usilale wakati changamoto za maisha ni kidogo Sana watu walishiba misosi bwerere?Acha upotoshaji...watu walilala milango wazi usiku kipindi cha joto.
Kuropoka ni rahisi sana ila mnashindwa kufahamu kwamba ongezeko la watu linakuja na changamoto nyingi..
Miaka ya kina mrema watu walikuwa wachache kuliko Leo na changamoto za maisha zilikuwa nafuu kuliko saizi..