Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Miundombinu ndiyo hiyo kujenga charging stations.Infrastructure wise bado sana , umeme haueleweki, miundombinu bado. Lazima tu improve miundombinunkwanza kabla ya kuelata electrical vehicle
Biashara ya magari ya umeme imeshaanza kuporomoka na sasa tunaelekea kwenye magari ya hydrogen, dunia inakimbia kwa kasi ya ajabu1Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme.
Badala ya kuhangaika na mifumo ya gesi kwenye magari tupambanie magari ya umeme. Tujenge charging stations mijini na kwenye highway zetu. Tuanze Dar-Dom na Dar- Arusha kujenga charging stations. Tuwekeze kwenye uchimbaji wa lithium, graphite nk, hata tusipotengeneza betri lakini tutakuwa na kasauti kwenye dunia ya magari ya umeme. Twende na wakati.
Kabla ya kukimbilia kwenye umeme, tuanze kutumia gesi kwa sababu ipo hapa hapa nchini na ni nafuu,Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme.
Badala ya kuhangaika na mifumo ya gesi kwenye magari tupambanie magari ya umeme. Tujenge charging stations mijini na kwenye highway zetu. Tuanze Dar-Dom na Dar- Arusha kujenga charging stations. Tuwekeze kwenye uchimbaji wa lithium, graphite nk, hata tusipotengeneza betri lakini tutakuwa na kasauti kwenye dunia ya magari ya umeme. Twende na wakati.
Kwani gari la umeme la kawaida kama IST, RAUM, SPACIO, HARRIER na KLUGER zinauzwaje jombaa?Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme.
Badala ya kuhangaika na mifumo ya gesi kwenye magari tupambanie magari ya umeme. Tujenge charging stations mijini na kwenye highway zetu. Tuanze Dar-Dom na Dar- Arusha kujenga charging stations. Tuwekeze kwenye uchimbaji wa lithium, graphite nk, hata tusipotengeneza betri lakini tutakuwa na kasauti kwenye dunia ya magari ya umeme. Twende na wakati.
Gari za gesi kwetu zitakuwa gharama sana. Kwanza hatuna mtambo wa kutengeneza LNG, na kutengeneza huo mtambo ni mabilioni ya dola. Pili hatuundi magari, tunafanya tu modifications. Dunia inaelekea kwenye EVs. magari, treni, pikipiki, baiskeli, boti, nk nk.Kabla ya kukimbilia kwenye umeme, tuanze kutumia gesi kwa sababu ipo hapa hapa nchini na ni nafuu,
Magari ya umeme kwanza ni ghali lakini pia charging cycle za battery zikiisha ndo habari imeishia hapo ..utatakiwa kununua battery mpya ambazo ni ghali mno,
Kwa hiyo gesi asilia ni convenient kwa Tanzania, kikubwa viongezwe vituko vya kuuza gesi asilia,
Magari ya Hyrdrogen ni ghali balaa. Siyo leo wala kesho yataweza kuyapiku magari ya umeme.Biashara ya magari ya umeme imeshaanza kuporomoka na sasa tunaelekea kwenye magari ya hydrogen, dunia inakimbia kwa kasi ya ajabu1
Sasa hivi tunatumia cng, dangote ana fleet zaidi ya 200 za cng, so sio lazima lngGari za gesi kwetu zitakuwa gharama sana. Kwanza hatuna mtambo wa kutengeneza LNG, na kutengeneza huo mtambo ni mabilioni ya dola. Pili hatuundi magari, tunafanya tu modifications. Dunia inaelekea kwenye EVs. magari, treni, pikipiki, baiskeli, boti, nk nk.
Gari za umeme hatuzalishi ila zipo nyingi sokoni, nyingi sana kuliko za gesi. Na hizi siyo rahisi kuzifunga mfumo wa gesi kama za conventional engine. Kama tungekuwa tunazalisha magari ya kutumia gesi au yangekuwa mengi, au soko la magari lingekuwa linaelekea kwenye magari ya gesi ingekuwa sawa.Sasa hivi tunatumia cng, dangote ana fleet zaidi ya 200 za cng, so sio lazima lng
Kwani magari ya umeme tunazalisha, kwa hiyo unashauri vipi , ile gesi iliyopo mtwara tuiache turukie umeme moja kwa moja,
Btw I am not against ev, but nasisitiza umuhimu wa kutumia cng yetu tuliyonayo,
Bado kunachangamoto lakini ndiyo future ya magari. Wanasema kufikia 2040 nusu ya magari duniani yanategemewa kuwa ni ya umeme. Na trend inaonyesha gharama ya kuunda batteries inazidi kushuka daily.Sidhani kama gari za umeme zitatoboa labda gharama za battery zishuke hasa replacement, lakini pia muda wa kucharge hiyo gari upungue zaidi...otherwise wakifikia kwenye self charging....hapo kutakuwa hakuna cha kuwarudisha nyuma
Wabaki hapa hapa JF, ndo home of great thinkerWatu Kama wewe wenye akili na upeo hamtakiwi bungeni Wala kwenye nafasi za maamuzi.
Mambo yanakwenda kwa kasi sana.Magari ya Hyrdrogen ni ghali balaa. Siyo leo wala kesho yataweza kuyapiku magari ya umeme.
Huko kwenye hydrogen walishavuka pia. Wapo kwenye gari za kutumia mwangaBiashara ya magari ya umeme imeshaanza kuporomoka na sasa tunaelekea kwenye magari ya hydrogen, dunia inakimbia kwa kasi ya ajabu1