Tunisia: Rais Saied aingilia Tume ya Uchaguzi, ateua wajumbe wapya

Tunisia: Rais Saied aingilia Tume ya Uchaguzi, ateua wajumbe wapya

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe

Tume hiyo ni miongoni mwa Vyombo huru vya mwisho Nchini #Tunisia, na kubadilisha wanachama wake kwa amri ya Rais kunatarajiwa kuchochea upinzani zaidi dhidi ya Utawala wake

=======

Tunisian President Kais Saied issued a decree on Friday replacing members of the Independent Electoral Commission with seven new people appointed by himself, in his latest move to impose one-man rule after he dissolved parliament last month.

The Commission is one of the last independent bodies in Tunisia, and changing its members by presidential decree is almost certain to create controversy over the credibility of any subsequent elections.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom