Tunisia wamefuzu kucheza AFCON 2021 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Tanzania

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Tunisia 10 wanafuzu kucheza AFCON 2021 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Tanzania [emoji1241].

Equatorial Guinea [emoji1095] wanashika nafasi ya pili kwenye Kundi J kwa pointi 6, Tanzania nafasi ya 3 na pointi 4, Libya pointi 3. TZ wamebakiza mechi 2 za kutafuta nafasi.
 
Taifa Starz hawana team work kabisa.. ni kikundi cha watu wenye Jersey ya Blue uwanjani.
Dah! Nimecheka sana...Ila kipindi cha pili wamejitahidi bwana...accuracy ndo tatizo tungeweza kushinda
 
Kuna jamaa nilikuwa naangalia nae hii mechi akaniambia bora leo wameleta upinzani walau, sio kama mechi iliyopita.
Nimemuuliza, Nchi yenyewe haina upinzani hii, huo upinzani wa kwenye mpira utatoka wapi?
Tumeshajijengea mindset ya kinyonge... mwenye nguvu muache, ndivyo itakavyokuwa kwenye mambo yanayohitaji ushindani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msalimie Habib
 
Kwani hii si ilikuwa mechi ya 4 kati ya 6. Bado tuna mechi mbili

March 22: Equatorial Guinea vs Tanzania
March 30: Tanzania vs Libya

Hizi mechi ilitakiwa zipigwe June 2020 zikaahirishwa
 
Kwani hii si ilikuwa mechi ya 4 kati ya 6. Bado tuna mechi mbili

March 22: Equatorial Guinea vs Tanzania
March 30: Tanzania vs Libya

Hizi mechi ilitakiwa zipigwe June 2020 zikaahirishwa
Tutashinda Malabo 1-0,tutashinda Daresalaam 2-0🙁🙁.Kumbe Amunikealikuwa Mwanaume bana.Kundi jepesi tumelifanya limekuwa gumu sana.
 
Vile hairuhusiwi kutumia mapolisi.... tungeshinda walahi!
 
Ulikuwa unajua au ulikurupuka kupost, una uhakika na pointi za Tanzania.
 
Siungeenda kucheza uwanjani na wewe au ungepeleka timu cdm wacheze kila kitu ni kuponda tu mlivyo na makamasi kichwani
 
Vile hairuhusiwi kutumia mapolisi.... tungeshinda walahi!
Achakuleta siasa zako kwenye hili unda timu taifa cdm basi mcheze kwa niaba ya taifa stars mbuzi ni mbuzi mmezaliwa na mindset ya kukejeli kila leo mnakejeri tu
 
Hivi tungepekeka masoja si tungeshinda.yaanu jeiwii,polisi wakasambaratisha hao waarabu,weka hapo na mkuu wa kamati ya ufundi mr. maheraa ushindi lazima.Halafu hapo pembeni Mzee Jecha anatoa technical advice jinsi ya kuchakata matokeo.Walahi ingetoka Tunisia 1 Taifa stars 8.
 
Achakuleta siasa zako kwenye hili unda timu taifa cdm basi mcheze kwa niaba ya taifa stars mbuzi ni mbuzi mmezaliwa na mindset ya kukejeli kila leo mnakejeri tu
Tungewaita na maheraa na jecha km mateknishian hakika hata goli 6 zngepatkana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…