Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Shirikisho la Soka la Tunisia limeamua kuachana na kocha mkuu Sabri Lamouchi mara moja kufuatia kipigo walichopata dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa ufunguzi.
Mipango inaendelea ya kumteua Mondher Kebaier kuwa kocha mpya wa timu ya taifa kwa muda, huku Shirikisho likithibitisha hatua hiyo.
Hatua hiyo inakuja baada ya Tunisia kupokea kichapo kizito cha mabao 5-1 dhidi ya Sweden katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026 jana, matokeo yaliyosababisha Shirikisho la Soka la Tunisia kuchukua uamuzi wa haraka wa kumtimua kocha mkuu Sabri Lamouchi.