Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
Nyakati ni ngumu na mambo ni mengi lakini tunashukuru Mungu hatuwazii kuchukua maamuzi magumu au ya hovyo kama kujiua, kuiba au kudhulumu lkn kiuhalisia nyakati ni ngumu, Only god knows what we going through.
Tunjitahidi kuwa na furaha kujichanganya na watu kupunguza msongo plus jf basi ahueni inapatikna hta km tumeipitisha siku na mlo mmoja
Kiza kikizidi kunakaribia kuopambazuka
Tunjitahidi kuwa na furaha kujichanganya na watu kupunguza msongo plus jf basi ahueni inapatikna hta km tumeipitisha siku na mlo mmoja
Kiza kikizidi kunakaribia kuopambazuka