Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
Kuna stress zingine hazihitaji hata watu wengine haziishi JPM alifanya watu kua na maisha magumu baada ya tengua tengua kipindi hicho jf ilikua na wanachama wengi.Nyakati ni ngumu na mambo ni mengi lakini tunashukuru Mungu hatuwazii kuchukua maamuzi magumu au ya hovyo kama kujiua, kuiba au kudhulumu lkn kiuhalisia nyakati ni ngumu, Only god knows what we going through.
Tunjitahidi kuwa na furaha kujichanganya na watu kupunguza msongo plus jf basi ahueni inapatikna hta km tumeipitisha siku na mlo mmoja
Kiza kikizidi kunakaribia kuopambazuka
Makosa ya kiuandishiHii si infiti hoja n habari mchanganyiko !
😳
Jf ni uwanja mpana wa maarifa ni ww tu unautumiajeKuna stress zingine hazihitaji hata watu wengine haziishi JPM alifanya watu kua na maisha magumu baada ya tengua tengua kipindi hicho jf ilikua na wanachama wengi.
Una hoja mkuu hujakosea kuleta point kubwa sanaMakosa ya kiuandishi
Shukurani mkuuUna hoja mkuu hujakosea kuleta point kubwa sana
Tutafika tuu!Nyakati ni ngumu na mambo ni mengi lakini tunashukuru Mungu hatuwazii kuchukua maamuzi magumu au ya hovyo kama kujiua, kuiba au kudhulumu lkn kiuhalisia nyakati ni ngumu, Only god knows what we going through.
Tunjitahidi kuwa na furaha kujichanganya na watu kupunguza msongo plus jf basi ahueni inapatikna hta km tumeipitisha siku na mlo mmoja
Kiza kikizidi kunakaribia kuopambazuka
Hakika mkuuTutafika tuu!
Barikiwa mkuu kwa ujumbe mujarrabu kabisaNikutie nguvu na kukufariji kuwa,
Hapa duniani, hakuna kitu rahisi kama kupata utajiri kwa njia za Mungu,
Mungu ameruhusu tumjaribu kwa matoleo,
Na Mungu hujaribiwa na mwenye haki, acha UOVU, wizi, acha chuki, weka mbali dhulma, uzinzi Kisha,
Mjaribu Mungu kwa matoleo, chukua pesa kidogo uliyo nayo, nenda mnunulie jirani yako maskini chakula Kisha subiri uone ikiwa Mungu atakubali kukaa kimya asikubariki Ili asionejane mwongo,
Sifa kuu ya Mungu ni uaminifu, hakika atakujibu, na hutapungukiwa.
Mimi ni shuhuda.
Ubarikiwe.
Sahihi kabisa hii ndio maana ya kutokulingana haimaanishi kwenye mionekano tu hata changamoto zetu pia jambo jingine tukizungumzia mitandao maana ni pana kwmfn Mimi nikimuambia mtu bando la miatano namaliza nalo siku haamini kwasababu yy akilip Iko insta na sijui tiktok lkn binafsi namaliza siku na mb za jero nadundia nazo jf tuKuna stress nyingine mtu hupitia hata mitandao unaiona michungu, ukiamka asubuhi unatamani pasinge kucha..... But all in all ni mapito tu and everything will be alright.