Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Cha umuhimu wanayo lete za ufipa zilizo wazi na busy!Hii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani mshahara hakuna watumishi wameghairi kuja.
View attachment 2786567
Ufipa ni chama kilichpo Nchi gani?Ch
Cha umuhimu wanayo lete za ufipa zilizo wazi na busy!
Hivi nikuulize,unadhani Mbowe na Lissu wanashindwa na vishilingi laki3toka kwenye mikutano ya hadhara?umesema inaniasidia nini nawe nikuulize uonapo ripoti ya cag inaonesha rosario itakaa kimya kwakuwa haikuhusu?Hii habari inakusaidia nini wewe na familia yako?
Lisu yupo Ulaya kula bata na familia yake kupitia michango aliyochangisha mikutanoni.
Mbowe ni miongoni mwa wanaokula keki ya taifa kupitia ruzuku za kina Halima Mdee kwa njia ya kificho.
Zito na genge lake nao wanatafuna hela za wapemba, huku wakiwahadaa kufungua ofisi mpya nk.
Sasa wewe unaehangaika humu kuleta habari zisizokuwa na tija kwako wala kwa taifa ni Nani kati ya hao niliowataja ashawahi kukufikiria wewe na familia yako, japo kwa kukupa kilo ya unga na maharage?
Wangekuwa hawashindwi na hizo laki 3 unazosema, wasingetumia mikutano yao kuwachangisha wananchi masikini.Hivi nikuulize,unadhani Mbowe na Lissu wanashindwa na vishilingi laki3toka kwenye mikutano ya hadhara?umesema inaniasidia nini nawe nikuulize uonapo ripoti ya cag inaonesha rosario itakaa kimya kwakuwa haikuhusu?
Nani kakudanganya kuwa ruzuku ya Chadema inatokana na uwepo wa Makovidi 19 bungeni.Hii habari inakusaidia nini wewe na familia yako?
Lisu yupo Ulaya kula bata na familia yake kupitia michango aliyochangisha mikutanoni.
Mbowe ni miongoni mwa wanaokula keki ya taifa kupitia ruzuku za kina Halima Mdee kwa njia ya kificho.
Zito na genge lake nao wanatafuna hela za wapemba, huku wakiwahadaa kufungua ofisi mpya nk.
Sasa wewe unaehangaika humu kuleta habari zisizokuwa na tija kwako wala kwa taifa ni Nani kati ya hao niliowataja ashawahi kukufikiria wewe na familia yako, japo kwa kukupa kilo ya unga na maharage?
Pamoja na kuwepo katika hiki Chuo kikuu cha ufahamu JF bado huelewi kuwa chama hakipati ruzuku kwa kuwa na idadi yeyote ya viti maalum bungeni?Hii habari inakusaidia nini wewe na familia yako?
Lisu yupo Ulaya kula bata na familia yake kupitia michango aliyochangisha mikutanoni.
Mbowe ni miongoni mwa wanaokula keki ya taifa kupitia ruzuku za kina Halima Mdee kwa njia ya kificho.
Zito na genge lake nao wanatafuna hela za wapemba, huku wakiwahadaa kufungua ofisi mpya nk.
Sasa wewe unaehangaika humu kuleta habari zisizokuwa na tija kwako wala kwa taifa ni Nani kati ya hao niliowataja ashawahi kukufikiria wewe na familia yako, japo kwa kukupa kilo ya unga na maharage?
Kila mtu acheze pambano lakeHii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani mshahara hakuna watumishi wameghairi kuja.
View attachment 2786567
Wewe umeanza kujifunza siasa wakati wa Lisu na Mbowe ndomaana imekuwa rahisi wao kukushikia akili, au kukuhadaa watakavyo kama walivyofanya kwa Lowasa mwaka 2008 na 2015 wakakuhadaa tena umpigie Lowasa kura.Nani kakudanganya kuwa ruzuku ya Chadema inatokana na uwepo wa Makovidi 19 bungeni.
Uliza tunaojua ni jinsi gani ruzuku inavyotolewa tukujuze sio kukurupa na ramli chonganishi.
Hicho chama hata muasisi wake mwenyewe hivi sasa anakiona mzigo anashindwa tu kukihama kwa aibu wanayopataHii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani mshahara hakuna watumishi wameghairi kuja.
View attachment 2786567
Pamoja na kuwepo katika hiki Chuo kikuu cha ufahamu JF bado huelewi kuwa chama hakipati ruzuku kwa kuwa na idadi yeyote ya viti maalum bungeni?
Kama hilo tuu hulijui basi we ni KILAZA ungekuwa unakaa kimya tuu.
Tunasafiri ndefu.mtu hajuwi ruzuku inavyopatikana!.Oooh, ona sasa ndugu yangu unavyo vua nguo hadharani bila kujua madhara ya kukaa uchi!
Wapi Lissu aliposema wanachukua ruzuku kwa vile wanaipata kwa sababu ya hao kina Mdee na wenzake?
Tafuta sheria ya vyama vya siasa uisome utajua nakueleza nini.
Mr Dudumizi: Kumbe wewe ni mtupu hivi kichwani. Kwa ujinga wako unadai akina Mdee ndio wanaiwezesha Chadema kupata ruzuku, really? Hebu soma hapa...Japo chama kinajifanya hakiwatambui hao kina Mdee, lkn wenye akili tunafahamu jinsi Mbowe anavuta ruzuku kwa njia za uficho, na pia kusaidia kesi ya kina Mdee iende kwa mwendo wa kono kono hadi 2025.