Tunoposema ACT Wazalendo wanafanya mambo kwa maonesho na kuwakomoa CHADEMA ona sasa

Tunoposema ACT Wazalendo wanafanya mambo kwa maonesho na kuwakomoa CHADEMA ona sasa

Oooh, ona sasa ndugu yangu unavyo vua nguo hadharani bila kujua madhara ya kukaa uchi!
Wapi Lissu aliposema wanachukua ruzuku kwa vile wanaipata kwa sababu ya hao kina Mdee na wenzake?
Tafuta sheria ya vyama vya siasa uisome utajua nakueleza nini.

Hakuna ruzuku inapangwa kwa idadi ya viti maalumu, ruzuku hutokana na wingi wa kura
 
Mr Dudumizi: Kumbe wewe ni mtupu hivi kichwani. Kwa ujinga wako unadai akina Mdee ndio wanaiwezesha Chadema kupata ruzuku, really? Hebu soma hapa...

Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona kama chama kimepata asilimia tano ya kura au kama chama kimeshinda nafasi za ubunge au udiwani, kama ilivyoainishwa katika kifungu cha 16 cha Sheria ya Vyama vya Siasa, namba 5 ya mwaka 1992.

Je bado una swali?
Mpe elimu
 
Labda picha imepigwa jioni wamefunga ofisi.
😄😃Mchana kweupe tena waliyokuwa watumishi wanapita hapo kama hawapajuwi.waliwanunuwa wanachama kadha kuongeza ushawishi sitawataja majina hapa,na mhamasishaji mkuu wakati panafunguliwa ni jeuri,tapeli.
 
Back
Top Bottom