Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Chama cha Nondo na Zitto unategemea nini?Hii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani mshahara hakuna watumishi wameghairi kuja.
View attachment 2786567
Hakuna ruzuku inapangwa kwa idadi ya viti maalumu, ruzuku hutokana na wingi wa kuraOooh, ona sasa ndugu yangu unavyo vua nguo hadharani bila kujua madhara ya kukaa uchi!
Wapi Lissu aliposema wanachukua ruzuku kwa vile wanaipata kwa sababu ya hao kina Mdee na wenzake?
Tafuta sheria ya vyama vya siasa uisome utajua nakueleza nini.
Mpe elimuMr Dudumizi: Kumbe wewe ni mtupu hivi kichwani. Kwa ujinga wako unadai akina Mdee ndio wanaiwezesha Chadema kupata ruzuku, really? Hebu soma hapa...
Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona kama chama kimepata asilimia tano ya kura au kama chama kimeshinda nafasi za ubunge au udiwani, kama ilivyoainishwa katika kifungu cha 16 cha Sheria ya Vyama vya Siasa, namba 5 ya mwaka 1992.
Je bado una swali?
Labda picha imepigwa jioni wamefunga ofisi.Hii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani mshahara hakuna watumishi wameghairi kuja.
View attachment 2786567
😄😃Mchana kweupe tena waliyokuwa watumishi wanapita hapo kama hawapajuwi.waliwanunuwa wanachama kadha kuongeza ushawishi sitawataja majina hapa,na mhamasishaji mkuu wakati panafunguliwa ni jeuri,tapeli.Labda picha imepigwa jioni wamefunga ofisi.