TUNU PINDA: Profile

Anatoka Tabora.

Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzi za mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.

Kama umetudanganya vile!!!
 
Nyie ndo wa kwanza kutetea chaguo la Dr Slaa, hata kama lilikuwa chaguo la mtu mwingine!

Kigombaniwacho lazima ni kitu kizuri masopakyindi? After all yule tunamjua ni Mwanaharakati msomi, so ndiyo right choice kwa mtu kama Dr. Slaa....and she will make a perfect first Lady kama kutakuwa na fair game 2015.....:amen:
 
Last edited by a moderator:
Anatoka Tabora.

Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzi za mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.

Anaitwa Mzee Abdallah Rehani na anaishi Tabata.

First Name kabla hajaolewa ndio hilo la sasa la Tunu, na baada ya kuolewa alibadili dini kutoka uisilamu na kuwa mkatoliki, na akabatizwa kwa jina la Petronela

Tunu kielimu ana bachelor ya biashara kutoka open university of Tanzania.



c kweli anatokea mkoa wa Mara (Mkurya)

mkuu kabembe mzee rehani hana binti mwengine aliyeolewa na pinda zaidi ya huyu tunu ambaye alipata elimu ya kutosha ya madrasa kabla ya kuonana na mh pinda na kuritadi.



Guys... Trust ME tupo na Wanausalama humu...
 
Kwenye leadership mtoto wa mkulima ni total failure,ni mtu wa kulialia tu pindi anapobanwa na kuomba huruma ya wabunge na wananchi.Infact is the one of retards in this government.
 
Naiheshimu jf looo, sasa tumemjua sana huyu mama kupitia baba yake mzee abdalah sasa mwenye kumjua mama yake je yani mke wa mzee rehani abdalah nae ni nani? Tumtendee haki mama yake mama mzaa chema.
 
CHezea Jf wewe... Tunu pinda ana roho nzuri na nimkarimu sana, ana cheza kwaito balaa
unaonaeee inaelimisha,inakosoa,inaburudisha lakini pia inakuweka huru na stress za maisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…