TUNUNUA MATAIRI MABOVU YA MABASI NA SCANIA KWA BEI NZURI!

Winnerstz

Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
10
Reaction score
7
Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania.
πŸ’Έ Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja!

βœ… Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi.
πŸ“ Eneo: Upo Dar es Salaam? Tutakuja moja kwa moja hadi eneo lako!
 
Nakumbuka tyre zilizo choka hadi mwisho kabisa, mwaka 2017 nilikuaga namuuzia majuto mchonga mapira na bush kwa shilingi elfu 5 tyre 1
 
HIYO BEI BORA KUZICHOMA MOTO TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…