TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
"Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.Tulinde amani ni mtaji wetu,tuitunze,tusikilizane,tuheshimiane,tushikamane."
Huu ni ujumbe toka kwa machakubanga waliojiweka madarakani kwa mabavu,sasa nasema hivi;
Mosi hakuna nchi inaitwa TANZANIA,ilikufa kitambo sana.
Pili sisi wananchi hatuna uwezo wakulinda amani wakati mezurumu haki yetu ya kuongea,kuishi nk.
Tatu kama kutunza tutatunza nyeti zetu ,hiyo amani tunzeni wenyewe unless hoja zetu zitajibiwa kwa vitendo kabla ya 7/7.
Nne Tulipopaza sauti mtusikilize hamkutusikiliza,mkatuteka na kutufanyia kila aina ya ukatili,haikutosha mkaua ndugu zetu kwa risasi bila hatia yoyote(tunapigania damu zao).
Tano,Kupora haki zetu ni kutuvunjia heshima,hivyo huu si muda wa kuheshimiana,kaheshimianeni na familia zenu.
Sita,tulipodai haki zetu kwa uwazi na utulivu ili tudumishe mshikamano mlituita wachochezi na mkatutesa,kashikamaneni na familia zenu.
when we have demanded Justice you refused,when we have demanded for reconcilliation you were denial,,under major issues are JUSTICE,RECONCILLIATION and REVENGE,The two are gone,the third on action,its to morrow.
KESHO NI KESHO,NA USIKU WA DENI HAUKAWII.
MUHIMU NI TANGANYIKA HURU NA SI UHAI WETU IKIBIDI.