Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
- #21
Hao wanaume washindao vijiweni ndio job less wa nchi hii, kuropoka ni jadi yaoWaropokaji wa mambo ya faragha mara nyingi ni wanawake ,ukiona mwanamme anaropoka mambo ya faragha basi ni mshinda vijiweni.