Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 1,844 Reaction score 3,089 Oct 11, 2024 Thread starter #21 King Kong III said: Waropokaji wa mambo ya faragha mara nyingi ni wanawake ,ukiona mwanamme anaropoka mambo ya faragha basi ni mshinda vijiweni. Click to expand... Hao wanaume washindao vijiweni ndio job less wa nchi hii, kuropoka ni jadi yao
King Kong III said: Waropokaji wa mambo ya faragha mara nyingi ni wanawake ,ukiona mwanamme anaropoka mambo ya faragha basi ni mshinda vijiweni. Click to expand... Hao wanaume washindao vijiweni ndio job less wa nchi hii, kuropoka ni jadi yao
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Oct 11, 2024 #22 Utamu ukizidi mdomo hauwezi fumba utajiropokea tu, sio tabia nzuri lakini ndo hivyo,
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,858 Reaction score 22,729 Oct 11, 2024 #23 Kapeace said: sio tabia nzuri lakini ndo hivyo, Click to expand... Hiyo tabia haifai kabisa
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 24,514 Reaction score 65,521 Oct 11, 2024 #24 Kasiano Muyenzi said: Hiyo tabia haifai kabisa Click to expand... Inakera sana maana unaowasimulia watataka tu na wao kuupata huo utamu, kuna wanaume wajinga sana
Kasiano Muyenzi said: Hiyo tabia haifai kabisa Click to expand... Inakera sana maana unaowasimulia watataka tu na wao kuupata huo utamu, kuna wanaume wajinga sana
Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 1,844 Reaction score 3,089 Oct 11, 2024 Thread starter #25 Kapeace said: Inakera sana maana unaowasimulia watataka tu na wao kuupata huo utamu, kuna wanaume wajinga sana Click to expand... Wajinga ndio wapotezao wapenzi kwa kusimulia mambo ya faragha zao
Kapeace said: Inakera sana maana unaowasimulia watataka tu na wao kuupata huo utamu, kuna wanaume wajinga sana Click to expand... Wajinga ndio wapotezao wapenzi kwa kusimulia mambo ya faragha zao