Tuoe Wapi?

Bongo miyeyusho sana braza, kwanza wanawake wa bongo ni omba omba mi huwa siwaelewi kabisa.

Ukimtongoza tu gas inaisha, kioo cha simu kinapasuka, kodi inaisha na anafiwa.

Wanawake wa bongo hawa kina Atoto sio bro
Watu wengi hawa elewi hiki kitu asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo ni hovyo their after money not true love
 
Hata wewe una mapungufu hakuna mtu aliekamilika. Tafuta huyo mmoja mvumiliane ukishindwa ni kheri usioe kabisa.
Ndio lakini sidhani kama kwenye suala la mtu kufanya umalaya ni upungufu
 
mkuu si unaweka standard zako? wanawake wako tofauti tofauti weka vigezo vya mwanamke unamtaka, anza kumsaka utampata tuu
✅✅✅Ndio Cha muhimu shida ni kwamba kila unayekutana nae kwa mara ya kwanza ni mzuri
 
Utadhani unadate na yatima, wanawake wa kibongo wanyongwe....au sio
Dah Yani kwa mara ya kwanza anakuwa yupo vizuri ila baadae ndio madhaifu yanapoanza kuonekana wengi wanampenda mwanaume kwasababu ya pesa sio kwa malengo ya kuwa na familia bora
 
No please,u need somebody special to carry out and responsible for ur emotional needs.
Emotional needs mjini hapa?
We mkuu wewe,hii imekaa kizamani sana.... Nina amani hata hivyo
 
Reactions: Sax
Emotional needs mjini hapa?
We mkuu wewe,hii imekaa kizamani sana.... Nina amani hata hivyo
Not all kama huamini tafuta single mama wanaita independent and financial stable awe mtu mzima around 60+ awe rafiki kuna mengi utajifunza,money,respect,power is'nt full guarantee toward happiness but a sense of belonging is what matter the most.
 
❤️ Asante sana mkuu...
 
Reactions: Sax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…