Tuoe Wapi?

Tuoe Wapi?

Mkuu hyo hela ya kwenda kuoa Rwanda unayo au unafkr mahali zao wanatoa aftatu kama huku bongo
 
Kabla ya kuwaza uoe wapi jiulize kwanza unafaa kuwa mme tena si mme tu, mme bora?
 
Wanaume wa bongo tunakufa mapema kutokana na wanawake tunaowachagua wengi tunaowachagua wanakukubali kwasababu ya pesa unakuta life time yako wewe ndio tegemezi kwenye kila kitu mwisho wa siku stress na mlimbikizo wa majukumu tunakufa mapema before time
Kweli kabisa
 
Nenda comoro Mkuu utapewa bure kabisa na wanavyopenda wabongo
 
Wanaume wa bongo tunakufa mapema kutokana na wanawake tunaowachagua wengi tunaowachagua wanakukubali kwasababu ya pesa unakuta life time yako wewe ndio tegemezi kwenye kila kitu mwisho wa siku stress na mlimbikizo wa majukumu tunakufa mapema before time
Usioe mwanamke mwenye matatizo kuzidi wewe na asiye na elimu wala kazi....utakufa mapema. Pia kuna makabila mengine tunaambiwa na wazazi wetu si ya kuoa, achana nayo.
 
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
Una hakika hao wanawake wa Rwanda wanakutaka.
 
Back
Top Bottom