GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hali ya Maji imeanza Kuongezeka Mto Ruvu hivyo maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam yaliyokuwa hayapati Maji sasa yanaanza kupata baada ya Mvua Kunyesha.
Chanzo: Dawasatz
Tafadhali mlio jirani na Mto Ruvu tupeni Ushuhuda wenu isije ikawa Wachina Wawili, Mswahili Tabasamu na Tajiri wa Kujificha wa Kizanzibari wameamua kutuonea tu Huruma wana Dar es Salaam na kuyarudisha Maji Mtoni baada ya Mazao yao kupata Maji ya Kutosha na Mabwawa yao Makubwa ya Samaki kujaa na Samaki wao kuanza Kupiga Mbizi Majini.