GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
🤣🤣Hongera kwa kujifungua salama.
Nimepita Kawe Mlalakuwa wananchi wameenda kuomba maji pale Rugalo TPDF ClubKwaJi kawe maji hayatoki mkulu
Nyie jamaa ligi yenu naipenda sana. Siku mkionana tutashuhudia ngumi za kindoigeBreaking news: mtoa mada haishi dar anaishi Bunda.
Mambo ya dawassa waachie wenye daslamu yao
Hukuniona Mkuu nilivaa Pensi Mpauko?Nimepita Kawe Mlalakuwa wananchi wameenda kuomba maji pale Rugalo TPDF Club
Nyie jamaa ligi yenu naipenda sana. Siku mkionana tutashuhudia ngumi za kindoige
Mr.Dawa ngoja waliokaribu walete mrejeshoHali ya Maji imeanza Kuongezeka Mto Ruvu hivyo maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam yaliyokuwa hayapati Maji sasa yanaanza kupata baada ya Mvua Kunyesha.
Chanzo: Dawasatz
Tafadhali mlio jirani na Mto Ruvu tupeni Ushuhuda wenu isije ikawa Wachina Wawili, Mswahili Tabasamu na Tajiri wa Kujificha wa Kizanzibari wameamua kutuonea tu Huruma wana Dar es Salaam na kuyarudisha Maji Mtoni baada ya Mazao yao kupata Maji ya Kutosha na Mabwawa yao Makubwa ya Samaki kujaa na Samaki wao kuanza Kupiga Mbizi Majini.
Nisamee bure boss [emoji28]Nitake radhi mkuu mimi nakutana wapi na huyu bushman aisee?
Anaishi porini huko nyumba mganga nyumba mchawi ila kutwa kujichocha hapa na Mto ruvu.
Anadhani watu hawajamstukia wanamchora tu
Yaani GENTAMYCINE nipoteze kabisa muda wangu na Bipolar na Fool kama huyo LIKUD Mkuu?Nyie jamaa ligi yenu naipenda sana. Siku mkionana tutashuhudia ngumi za kindoige
unaona raha popoma akipigwa ban?...maana hiki ulichoandika ni kama umemuwekea mtego ajae kwenye 18 ya moderators...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera kwa kujifungua salama.