Tuogope sana kuhusu AI yajayo haya furahishi hata kidogo

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.

Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.

Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.

AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.

AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
 
UMECHANGANYIKIWA?

FAFANUA HATARI YA AI HATA KAMA UMECHANGANYIKIWA
Ni kweli nimechanganyikiwa kwa sasa ila sio baadae
1708717010258.jpeg
 
Autonomous AI ni hatari
 
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.

Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.

Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.

AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.

AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Wanadai AI itakuwa na maarifa makubwa kiasi kwamba ikatokea mwehu akahack system anaweza ku launch Nuclear bomb akiwa geto kwake tu
 
Back
Top Bottom