Kila zama namaisha YakeKaa tulia tafakari kwa kina usisubiri kuambia kila kitu na mtu
Kwa hiyo mkuu wewe ushahidi wako ni hii quote. Nilitegemea unashusha nondo za maana watu tuelimike unakuja na just a quote ambayo huna hata udhibitisho nayoNi kweli nimechanganyikiwa kwa sasa ila sio baadae
View attachment 3446345
Kwahiyo ndo umefafanua hapo?Ni kweli nimechanganyikiwa kwa sasa ila sio baadae
View attachment 3446345
Mwanamama J'LO ndani.kuna movie moja nliichek ya AI inaitwa atlas asee ni nouma uyo AI TERROSIST
Wanadai AI itakuwa na maarifa makubwa kiasi kwamba ikatokea mwehu akahack system anaweza ku launch Nuclear bomb akiwa geto kwake tuKaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.
Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.
Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.
AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.
AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.