Tuokoeni jamani kidato cha nne 2011

Tuokoeni jamani kidato cha nne 2011

Jericho Jr.

Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
75
Reaction score
6
jamani hebu tusaidieni haya matokeo nini kinaendelea ???mana presha inapanda presha inashuka.
 
acha preasure weme kama unataka kwenda madvance utaenda tu! Tokea kesho kutwa kama si leo au kesho!
 
Matokeo yapo kwa ajili yako, na sio wewe upo kwa ajili ya matokeo.
Punguza munkari matokeo yatakuja.
 
Kuna anguko balaa Tanzania kiasi kwamba kama ingekuwa ni nchi makini waziri angejiuzuru au serikali nzima ingeanguka!!!!
 
Vijana tulieni matokeo tutawatangazia Jumanne..
 
we matumbo we ndy mko pamoja na dada ndalchk huko necta?au ni walewale wa kukisia kama akna fran ambao nao walitaja cku na saa lakn ss ni week! hebu tuhakkshie kiukweli ndg
 
Anyway, suala la matokeo linahitaji umakini mkubwa sana kutokana na idadi ya watahiniwa ambao wanaongezeka siku hadi siku hivyo kuongezeka kazi katika kufanya tathmini ya matokeo kitaifa. Si suala la kusahihisha na kutangaza tu bali kuna michakato mingi kabla ya kutangaza
 
Kuna anguko balaa Tanzania kiasi kwamba kama ingekuwa ni nchi makini waziri angejiuzuru au serikali nzima ingeanguka!!!!
mmmhhhh sasa jamani wezentu wa shule z kata itakuaje?? lakini 10x kwa xana bruda kwa kunipa moyo
 
we matumbo we ndy mko pamoja na dada ndalchk huko necta?au ni walewale wa kukisia kama akna fran ambao nao walitaja cku na saa lakn ss ni week! hebu tuhakkshie kiukweli ndg
inawezekana wapo huko
 
Kuwen na subira nadhan kati ya tarehe 12 yatatoka ila wengi wtakuwa wamechemsha kwenye hisabati na science where is a prbm
 
Back
Top Bottom