Na hao wengine VP kwani ni pole pole tuu, soka yukwapi, azori gwanda yukwapi Ben sanane yukwapiSisi wana CCM wazalendo bado tunataka mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi tofauti na hapo ayo maridhiano hayapo bila kujua Polepole yuko wapi kama alifanya kosa kisheria afikishwe mahakamani. Unataka kwenda kwenye maridhiano mtu balozi amepotea kama kuku haiwezekani tuache unafiki wana CCM tutoke tuulize Polepole yuko wapi?
Unafiki huu ndiyo ule ule WA chaguzi chini ya ccmSisi wana CCM wazalendo bado tunataka mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi tofauti na hapo ayo maridhiano hayapo bila kujua Polepole yuko wapi kama alifanya kosa kisheria afikishwe mahakamani. Unataka kwenda kwenye maridhiano mtu balozi amepotea kama kuku haiwezekani tuache unafiki wana CCM tutoke tuulize Polepole yuko wapi?
Kwa sasa tunaitaji Polepole tujue yuko wapi unaenda kwenye Maridhiano gani wakati Polepole hajulikani yuko wapi maridhiano yaanzie CCM warudishe kwanza PolepoleKwa sasa hamna Utekaji tena nadhani Serikali ya Ruto imetoa Somo jinsi ya kukamata Wahuni. Hii Dhana ya Utekaji ilikuwa ya Kishamba bahati Mbaya Samia ndio anatupiwa Pira tunasahau The Great Founder of this was the Great Daddy who passed away & now may be is torturing his evilness.
Si vizuri watu kutekwa, lakini huyo Polepole acha atekwe tu. Yeye alishiriki moja kwa moja ama kufumbia macho utekaji wakati akiwa kwenye mlo chini ya utawala wa Magufuli. Ngoja avune matunda ya mti alioshiriki kuumwagia maji.Kwa sasa tunaitaji Polepole tujue yuko wapi unaenda kwenye Maridhiano gani wakati Polepole hajulikani yuko wapi maridhiano yaanzie CCM warudishe kwanza Polepole