Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

METAL

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
297
Reaction score
41
kama kawaida wadau tunaomba dua zenu kipindi hiki tunapoanza mitihani yetu ya kumaliza semester ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014,UDSM(Main Campus,DUCE & MUCE),tunaanza tarehe 3 mpaka 14 mwezi wa pili,Mungu ibariki UDSM.
 
be blessed my fellow brothers and sisters there at the college of engineering, transportation and geotechnical eng.
 
kila la kheri wadogo zangu....katika mitihani yenu.....
Nawakumbusha tu kwa wale ambao ndo wanamaliza jiandaeni vizuri kwa maisha ya mtaani.......

All the best....
 
Ambao mlikua hamsomi kazi kwenu! Niwakumbushe tuu kua tabia ya KUZIMA MOTO c nzur! Papara unaeza jikuta unazimia mafuta ya taa badala ya Maj! Otherwse, wish U all the best.
 
Ambao mlikua hamsomi kazi kwenu! Niwakumbushe tuu kua tabia ya KUZIMA MOTO c nzur! Papara unaeza jikuta unazimia mafuta ya taa badala ya Maj! Otherwse, wish U all the best.

toka 2012 una post nne?? duh..!

1010848_198755206953478_1932823097_n.jpg
 
Back
Top Bottom