Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

Ntake Radhi, afu Excel gan haijuh hesabu hebu fafanua jibu lako kabla cjappeal!

hahahahaaa!!! mkuu inaonekana coz yako bana ina math lakini unaiogopa vibaya!

unaijua magazijuto wewe?
anza na kuzidisha, then utapata 10 + 0 + 10 = 20!

haya jiandae na thapu!!
 
Mzigo naukamilisha tarehe 14 FEB na mnyama anaeitwa SPORTS BIOMECHANICS all da best mliomaliza pepa
 
kama kawaida wadau tunaomba dua zenu kipindi hiki tunapoanza mitihani yetu ya kumaliza semester ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014,UDSM(Main Campus,DUCE & MUCE),tunaanza tarehe 3 mpaka 14 mwezi wa pili,Mungu ibariki UDSM.

Mungu awajalie, ila kumbukeni suala la GPA ni muhimu sana kwenye soko la ajira,
 
Nyie subirn kuombewa na kama ni hvyo mapastor wote wangekuwa maprof...... chukua hatua......
 
Back
Top Bottom