Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Sisi siku zote tunapojitofautisha na wengine, ni kuwa wabaya zaidi kuliko nchi nyingine.Yes tuna changamoto lakini twaweza jitofautisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi siku zote tunapojitofautisha na wengine, ni kuwa wabaya zaidi kuliko nchi nyingine.Yes tuna changamoto lakini twaweza jitofautisha
Mwafrika na ustaarabu ni paka na panya!Nilikuwa napendekeza.
Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba.
Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa kuondoshwa.
Uongozi unapaswa kupewa uhuru wa kuongezewa muda wa kuongoza pale utakapo onesha matokeo chanya kwa watu wake.
Tuache kasumba ya kuwa uongozi ni kutawala miaka 10 mitano kwa mitano.
Ni mawazo yake mleta mada, lakini ni wazo lisilo na mantiki, halina maana, na litaongeza matatizo ya kiutawala juu ya yale ambayo tayari tunayo.Mtoa mada amekomalia tujitofautishe, Sasa tukishajitofautisha Kisha Nini? Yani hata Kama hakuna tija kwenye kujitofautisha? Kuna mjumbe amesema hata Marekani wenye mifumo imara bado wameona umuhimu wakuwa na mihula sembuse sisi wakanyaga Katiba. Hili kiufupi siyo wazo lenye afya hasa nyakati hizi labda kwa baadae.
Hayo ndiyo mawazo yenye tija kwasasa, Katiba mpya.Ni mawazo yake mleta mada, lakini ni wazo lisilo na mantiki, halina maana, na litaongeza matatizo ya kiutawala juu ya yale ambayo tayari tunayo.
Wazo la muhimu kwa sasa ni namna ya kuondokana na katiba hii ya hovyo tuliyo nayo, na sheria nyingine za hovyo, ikiwemo sheria ya uchaguzi ambayo inayofanya chaguzi zetu kutokuwa na maana.
Hatutaki mateso makubwa, yaani kwa katiba hiyo ya nyerere, uondoe term limit. Tutaamrishwa kulala saa 12 jioni. Yaani litakuwa kosa moja kubwa sana na hatutaki litokee. Yaani ungesema tupunguze term limit iwe miaka minne badala ya mitano hili kuwatia pressure viongozi wafanye kazi kwa umakini na hofu ya kuondoka mapemaNilikuwa napendekeza.
Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba.
Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa kuondoshwa.
Uongozi unapaswa kupewa uhuru wa kuongezewa muda wa kuongoza pale utakapo onesha matokeo chanya kwa watu wake.
Tuache kasumba ya kuwa uongozi ni kutawala miaka 10 mitano kwa mitano.
Mifumo imara itangulie na baadae tuoñdoe term limits.Hata mifumo ya sasa bado sio kizuizi kwa watawala wengine kuamua kung'ang'ania madaraka Afrika.
Ni vyema tukaamua kujitofautisha na wengine japo ni ngumu.
Tuondoe term limit tuweke mifumo imara
We nothing special, hebu twambie kwanza ni nani amekukonga katika uongozi wake hadi utushawishi kuondoa term limits. Kwangu Mimi hajatokea akitokea wananchi watapima, lakini siyo leo au kesho, tena kwa taasisi hizi dhaifu ambapo Rais anamkono kila sehemu; watabaki kuimba mapambio na kuwa kunguni baada ya kufuzu level ya uchawa.Nilikuwa napendekeza.
Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba.
Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa kuondoshwa.
Uongozi unapaswa kupewa uhuru wa kuongezewa muda wa kuongoza pale utakapo onesha matokeo chanya kwa watu wake.
Tuache kasumba ya kuwa uongozi ni kutawala miaka 10 mitano kwa mitano.
Naunga mkono hoja !!Nilikuwa napendekeza.
Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba.
Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa kuondoshwa.
Uongozi unapaswa kupewa uhuru wa kuongezewa muda wa kuongoza pale utakapo onesha matokeo chanya kwa watu wake.
Tuache kasumba ya kuwa uongozi ni kutawala miaka 10 mitano kwa mitano.
Mifumo na taasisi huongozwa na watu.Sasa hapo ndipo suala la kuimarisha mifumo na taasisi nyengine unapo hitajika.