Tuone picha ya Chuo alichosoma Mbunge aliwaamuru POLISI kumaliza KENGE

Wanadukua!
Wabunge mule wengi lopolopo reasoning ndogo!
Wangenyamaza bunge limedharaulika
Mb analopoka kama yuko kwenye kikundi cha vikoba kudaiana au yuko kwenye sherehe zile za kutunzana
Wanalopoka hawajui mambo ya diplomatic
Waziri wa mambo ya nje nna imani issue hii angei handle vizuri tu syo kuwaachia hawa wapiga domo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…