Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,136
- 1,118
Ndio maana tuna sheria za hovyo sanaDah huyu ndiyo mtunga sheria
Wetu
Ova
Ndio maana tuna sheria za hovyo sanaDah huyu ndiyo mtunga sheria
Wetu
Ova
Surrat~Zubaa, Madrasa AlkaliatuuHapa nazani angeandika tu Elimu ya Madrasa ingetosha 😄😄
Anavua chupi anapewaWanakera jmn hivi mijitu ya hivi inaingiagaje bungeni
Hizi nafasi CCM kuzifuta ni ngumu labda apatite Mwenyekiti Uwabata, Viti maalumu ni kichaka cha kutoa rushwa ya Ngono.Hizi nafasi za vitanda maalum zingefutwa. Kwani wanawake bado hawawezi hadi kuendelea kupewa vitanda maalum?
Majirani zetu wapendwa hii bado awajapita nayo 🤣🤣🤣🤣
Mkuu Tanzania hii kuna watu wamechukua nafasi za watu Makazini yani utakuta anayetakiwa awe kwenye sehemu yake sahii hayupo yupo mitaani ana uza uji au Bodaboda, na asiyejua lolote yupo sehemu ya maamuzi na alipwa maslai mazuri.Toka mwaka 2000 mpaka 2013 mtu anasoma O-LEVEL.
Halafu ndio aje kuwasemea wananchi, apitishe bajeti, aihoji serikali, atunge sheria..
Yule mwingine maryam sijui ni form 4 hatujui ni failure ama vipi...
Mkuu Zanzibar hakuna vyuo vingi kama Tanganyika kule Zanzibar wana vyuo vingi vya Madrasasa kuliko vyuo vya Elimu Dunia.Chuo kimefanana na akili zake!
2015-Ubago sekondari HALAFU