nbayoungboy never broken
JF-Expert Member
- Apr 20, 2025
- 383
- 372
Huyu hata x wangu hafikii hakili
Huyu alikuwa masomoni kwa miaka mingi Turaining Institute Garissa Kenya. Ulimpata lini na wapi?Jamani kumsema sema Ex wangu vibaya najisikia vibaya na mimi inatosha!
uwepo wake bungeni haujavunja Katiba. Tutamuelewa Lissu with time.Dah huyu ndiyo mtunga sheria
Wetu
Ova
Kuna ile voice note ilivuja ya moja ya makada wa CCM Zanzibar akilalamika kuombwa mzigo ili apendekezwe viti maalumAnatunga sheria za chupi labda huko bungeni
Ili trend sana humu jfIko wapi tuanzishie uzi
Imagine
🤣🤣🤣🤣🤣akili nzito bora asomee u AlshababUnajua na mm nilosoma adress ya hiko chuo nikasema mbona kipo huko waliko wasomali?? Ni alshabab kweli kwa akili za sekondari miaka yote ile lazima wamuingize huko....
Wawakilishi wa wananchi wanaoingia bungeni bila kutegemea kura za wananchi.
Kabisaaa🤣🤣🤣🤣🤣akili nzito bora asomee u Alshabab
Mnoooooo lo
Form 4 tu imemsumbua kiasi hiki