Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 996
- 1,913
Chuo sio issue kwangu ila najiuliza aliwezaje kusoma secondary tangu 1997 mpsks 2015?
Chuo sio issue kwangu ila najiuliza aliwezaje kusoma secondary tangu 1997 mpsks 2015?
Kenge labda yeye
Halafu hiyo Turaining School ipo Garissa! No wonder, Wakenya wanatushangaa kwa miujiza yetu.2015-Ubago sekondari HALAFU
2013-2015-Diploma.
Imekaaje hiyo????????
Garisa?Atakuwa alienda kupata kozi kutoka kwa Al-Shabab.Halafu hiyo Turaining School ipo Garissa! No wonder, Wakenya wanatushangaa kwa miujiza yetu.
House maid (housegirl) wangu ana elimu ya kidato cha sita, ila mtunga sheria ni ungaunga mwana.
Ajabu la Dunia😀😀😀Mtoto anazaliwa had anafika 4m 4. Yeye bado anakomaa na O level.
1997 - 2013 , miaka 16. Tobaaaaah.
😂😂😂😂😂
Yeye ni yupi hapo pichani😀
Kwa kweli maajabu hayaishi hapa Chini ya Jua.Ajabu la Dunia😀😀😀
Huyu bibie kichwa chake kilikuwa kina ubongo wa kuku wallah akifundishwa dakika zinafutika 😀😀😀Kwa kweli maajabu hayaishi hapa Chini ya Jua.
Hatarii kabisaa.Huyu bibie kichwa chake kilikuwa kina ubongo wa kuku wallah akifundishwa dakika zinafutika 😀😀😀
Nia yako ni nini
Weledi ukikosekana, UNDUGUNAIZESHENI na kujuana kukizidi ndio madhara yake.Mkuu Tanzania hii kuna watu wamechukua nafasi za watu Makazini yani utakuta anayetakiwa awe kwenye sehemu yake sahii hayupo yupo mitaani ana uza uji au Bodaboda, na asiyejua lolote yupo sehemu ya maamuzi na alipwa maslai mazuri.
Hata certificate sijui kasoma lini?2015-Ubago sekondari HALAFU
2013-2015-Diploma.
Imekaaje hiyo????????
Siku itakapoguswa familia yake kama atapata nguvu ya kusimama na kuzungumza hayo