Tuone picha ya Chuo alichosoma Mbunge aliwaamuru POLISI kumaliza KENGE

Tuone picha ya Chuo alichosoma Mbunge aliwaamuru POLISI kumaliza KENGE

🤣🤣🤣kenge Lubete ndio yule mwenye rangi rangi?
Anakuwa nazo rangirsngi na sifa nyingine za ziada:-
-kuzubaa ni jadi yake.
-msahaulifu sana.
-kiherehere kinachomponza mara nyingi na kupokea kipigo.
-kutaka makubwa/kulazimisha kumeza ng'ombe mkubwa au mayai ya mbuni mazimamazima.
-akikosa msosi hakawii kuanza kuumemena mkia wake kwa matarajio kwamba utaota upya n.k.
 
1997-2013 secondary school. Duuh
Darasa moja alikuwa anarudia ar' baa marraat (Mara 4)?

Kuna watu humu najua wapo, kaanza sekondari bado hawajazaliwa halaf wamemaliza wote sekondari.

Hii ni noma sana 😁
1997 mpaka 2015, yan kaanza kusema secondary mimi sijaanza secondary ila kamaliza secondary mimi nimemaliza chuo 😂😂😂😂😂, kweli hii nchi bila NO REFORM NO ELECTION hakuna kitu kitafanyika, ndio maana mambo wanayosema wasomi hawa hawawez kuelewa, anyways hicho ndio chuo alichosoma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kmmk daaaah
 
Huwezi kuwaona maana wao hawajafanikiwa kufika hata hapo alipofika huyo malaaaya wa mchambawima
Bwana Gentlemen na mzee wa bubujikwa machozi WAPO hoi hawajui watete lipi waache lipi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ikikupendeza mheshimiwa ripota leta matokeo yale ya form four ya izo shule zoote nane alizosoma kwa kurudia , akiwa kapata hata division 4 ya mwisho, ntajie namba nikuwekee 20 ya soda.....manake huyu anaweza pata zero hata mtihani wa darasa la saba....
 
Zanzibar imebarikiwa vilaza wengi Sana Kama sio misaada wa mitumba kutoka uarabuni wangekufa na njaa.
 
Back
Top Bottom