Tuoneeni huruma maisha ni magumu sana

Mkuu, hakuna atakaekuonea huruma kwa sababu dunia haijawahi kuwa na huruma kwa mtu yoyote.

Kama umekosa udhoefu tafuta udhoefu
Umekosa ajira, tafuta kazi

Ukijitilisha huruma hakuna kitakachobadilika
 
Ww una biashara gani mkuu?.
Angalau uwape elimu ya biashara.
UNataka kusema mtaani kwake anakoishi hawaoni hata wamama wauza mboga?,. Mabodaboda wauz mitumba? Wauza magenge??,. Mafundi kushona mafundi kusuka??, wauza migahawa na zote hizo mtaji wa kwanza ni nguvu zako tu na pesa ni kidogo sana hata 20k watu wanaanza nazo after 1yr or 2 or 3 mtu anaprogress

AU elimu ipi wanataka?? Miaka 10 mtu bado hajaexperience jinsi mambo mtaani yanavyotakiwa kwenda kweli??,. Huu ni uvivu wa fikra na ndio chanzo kikuu cha umaskini

Am out,. Sorry anyways
 
Ukitaka kujua dunia haina huruma, chukulia wanajeshi wanatumwa na wanasiasa waliokaa maofisini kwenda kwenye vita, na haijalishi unaenda kufa au kupona; muhimu malengo ya mwanasiasa yatimie. Mfano; Congo, Gaza, Ukraine, Urusi n.k​
 
Soma pia hii comment -ArkadHill
 
Tatizo ni akili mgando, kutegemea one way kuajiriwa
Tatizo ni mtaala wetu wa elimu unamuaandaa vijana kungoja kuajiriwa na sio kuwafundisha namba nzuri ya kuyakabiri maisha! hivyo tusiwalaumu vijana bali tuendelee kuwatia moyo na kuendelea kuwashirikisha kidogo kidogo kwenye haya mapambano ya maisha na tuwena huruma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…