Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNataka kusema mtaani kwake anakoishi hawaoni hata wamama wauza mboga?,. Mabodaboda wauz mitumba? Wauza magenge??,. Mafundi kushona mafundi kusuka??, wauza migahawa na zote hizo mtaji wa kwanza ni nguvu zako tu na pesa ni kidogo sana hata 20k watu wanaanza nazo after 1yr or 2 or 3 mtu anaprogressWw una biashara gani mkuu?.
Angalau uwape elimu ya biashara.
Soma pia hii comment -ArkadHillNafasi ni chache, waombaji ni wengi, unategemea nani achukuliwe na nani asichukuliwe?
Mfano; nafasi 5, watu walioomba ni 500; kwa hesabu ya kawaida unategemea nini?
Hatima ya maisha yako iko mikononi mwako, hakuna atakayekuonea huruma kama wewe mwenyewe hujionei huruma; inakubidi utafute mbadala wa namna ya kuishi; kumbuka ata muuza nyanya sokoni ana familia na anaendesha maisha bila wasiwasi.
Msomi anatakiwa kutumia elimu aliyoipata darasani, kupambana na kukabiliana na mazingira yanayokuzunguka; kulia lia haisaidii.
Tatizo ni mtaala wetu wa elimu unamuaandaa vijana kungoja kuajiriwa na sio kuwafundisha namba nzuri ya kuyakabiri maisha! hivyo tusiwalaumu vijana bali tuendelee kuwatia moyo na kuendelea kuwashirikisha kidogo kidogo kwenye haya mapambano ya maisha na tuwena huruma!Tatizo ni akili mgando, kutegemea one way kuajiriwa