Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

75% of the time huwa inaleta majina. Ila kuhusu location kama unamaanisha "real time" location alipo contact naaah, sijawahi ona; ila kama contact/user aliweka residential information kwa profile yake, basi utaona hiyo tu.
[emoji1756][emoji1756] Asante mkuu maana huyu dada ningempaua hadi ashangae[emoji28][emoji28]
 
Mkuu hii ni HOMEPAGE kweli?[emoji848][emoji848]
Nah hii ni kwenye "App drawer" ambapo nimegroup apps kwenye Folders. Ila my desktop/Homepage iko hivi...

Kuna widgets za:
1. Todoist
2. Zero
3. Google Fit

Na shortcuts kwa apps natumia mara nyingi:
1. Signal
2. Brave
3. Trucaller
4. Google camera
IMG_20211105_105119.jpg
 
Hivi kulimbikiza notifications ni fashion au[emoji81] nakumbukaga kuna dem wangu flani alikuwa sms hazifungui zinabaki na sticker kama hivyo ukizifungua anamaindi kabisa yani![emoji23]
Mimi kuna mdogo wangu nikishika simu yake nafungua notification zote ananuna.

Niliwahi kuwa naye mmoja nikatafsiri kama aina flani ya mtu kujifanya anahitajika sana. Ndio team blue tick na no replies. Ndio wale wale anasema nakuja kesho jioni ila ikifika haji wala hasemi sababu. Mpaka umpigie mara 10 uko
 
Back
Top Bottom