Unanifahamu mzee? Mimi nimepata kukusoma ni mtu wa aina gani kupitia muonekano wa simu yako tu. You are so childish grow up.
Ni panic kwasababu ya nini? Nimekuambia tu una utoto mwingi ili kama haujui ujijue.[emoji23][emoji23][emoji23]don’t panick bas
We live once, nafanya kile kinanifurahisha em acha makhasiriko.
Ni panic kwasababu ya nini? Nimekuambia tu una utoto mwingi ili kama haujui ujijue.
You are the one who's pathetic my lady. Choke on it.Aah kumbe
Bas nimeshajua ila ntaka niwe kama wew mwenye utu uzima wake
Pathetic!
You are the one who's pathetic my lady. Choke on it.
Kalale basi ukojoe.[emoji23][emoji23][emoji23]very funny enough
Unabishana na mtoto, don’t you see that is more childish?
Kalale basi ukojoe.
Okay sleep well.Relax mazeee
Usikuje na hasira haifai ila ngoja nifate ushauri wa mtu mzima
You are the one who's pathetic my lady. Choke on it.
Okay sleep well.
Surekuna watu wameinstall apps leo
baada ya kupitia hii thred[emoji2960]
Mkuu 😂🏃♀️Hahahahahaha unafanya nini huko? 😜😜
Mi sina ninachomiss kwenye Android kusema ukweli kabisa.
Umejuaje ni mzuri? Unaweza kukuta unamsifia mwanaume mwenzako shauri yako.
Acha Masikhara..Ntakuja Dina..Ngoja nitafute topic kwanza..