Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Yap..hongera kwa kuwa na iphone?
eeiiish
Wanasema bei aghali/juu.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap..hongera kwa kuwa na iphone?
eeiiish
Aah bora tu nisiweke nionekane peke yangu ndiye nna Badoo app hapana😂[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] Madame weka yako[emoji851]
Me am so sensitive to my emails, kwasababu kaZi zangu ni email base sanaa.
hongera kwa kuwa na iphone?
eeiiish
Atakua mtu wa System huyu😅App ya TAKUKURU unafanyia nini??
Wa GB 512 tujuane😜iphone sio issues shida ni iphone ngapi na gb ngapi
Wa GB 512 tujuane[emoji12]
Wa GB 512 tujuane😜
Hadi ukamilifu wa dahari😅Haaaah hizo gb hatari na nusu.
Aah bora tu nisiweke nionekane peke yangu ndiye nna Badoo app hapana😂
Unaeza update na data kawaida bila Wi-FiSio bundle.... ku-update inahitaji strong WI-FI na iwe kwa chaji af iwe imezimwa
mwenyewe imekua mtihan .... ila naitafutia siku yake nimalizane nayo in shaa Allah[emoji1431]
[emoji57][emoji57]
Unaeza update na data kawaida bila Wi-Fi
[emoji116][emoji116] omba update hakikisha mpaka unaltewa kias cha file unalotakiwa kuaupdate
Kabadili mwaka uwe ujao halafu update kama kawaida mwisho install hilo file then rudisha mwaka kama wa mwanzo
Paubae5 pitia hapaHatua ya kwanza, nenda kwenye setting chagua General setting
Hatua ya pili, Bonyeza General setting kisha chagua Date and Time setting
Hatua ya tatu, Bonnyeza hapo Date and time kisha utakuta neno limeandikwa “Set Automatically” ifanye isome “NO”
Hatua ya nne, baada ya kuifanya isome NO kwa chini utaona sehemu ya kurekebisha tarehe mfano leo ni 05 Nov 2021 peleka mwezi mmoja mbele isome 05 Dec 2021.
Baada ya hapo;
- Rudi tena kwenye setting, chagua General
- Baada ya kuchagua General utaona neno “Software update” Ita load then baada ya muda fulani itakuambia ufanye update, ukibonyeza neno update automatocally itaanza ku- update.
- Ikianza ku update rudi kwenye Date and Time chagua Set Automatically ifanye isome “YES”
- Baada ya hapo subili imalize kufanya download then update na hapo simu yako itakuwa updated.
Oi tuheshimiane Joan