Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

Screenshot_20211105-160637.png
 
Sio bundle.... ku-update inahitaji strong WI-FI na iwe kwa chaji af iwe imezimwa

mwenyewe imekua mtihan .... ila naitafutia siku yake nimalizane nayo in shaa Allah[emoji1431]
Unaeza update na data kawaida bila Wi-Fi
👇👇 omba update hakikisha mpaka unaltewa kias cha file unalotakiwa kuaupdate
Kabadili mwaka uwe ujao halafu update kama kawaida mwisho install hilo file then rudisha mwaka kama wa mwanzo
 
Unaeza update na data kawaida bila Wi-Fi
[emoji116][emoji116] omba update hakikisha mpaka unaltewa kias cha file unalotakiwa kuaupdate
Kabadili mwaka uwe ujao halafu update kama kawaida mwisho install hilo file then rudisha mwaka kama wa mwanzo

sijaelewa rafiki angu
 
Hatua ya kwanza, nenda kwenye setting chagua General setting

Hatua ya pili, Bonyeza General setting kisha chagua Date and Time setting

Hatua ya tatu, Bonnyeza hapo Date and time kisha utakuta neno limeandikwa “Set Automatically” ifanye isome “NO”

Hatua ya nne, baada ya kuifanya isome NO kwa chini utaona sehemu ya kurekebisha tarehe mfano leo ni 05 Nov 2021 peleka mwezi mmoja mbele isome 05 Dec 2021.

Baada ya hapo;

- Rudi tena kwenye setting, chagua General

- Baada ya kuchagua General utaona neno “Software update” Ita load then baada ya muda fulani itakuambia ufanye update, ukibonyeza neno update automatocally itaanza ku- update.

- Ikianza ku update rudi kwenye Date and Time chagua Set Automatically ifanye isome “YES”

- Baada ya hapo subili imalize kufanya download then update na hapo simu yako itakuwa updated.
Paubae5 pitia hapa
 
Back
Top Bottom