Clinton Manangwa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 214
- 223
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mimi "kuna hela naisilizia"[emoji41][emoji41]Unaona sasa unaanza ubahili
[emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakutania
hongera kwa kuwa na iphone?Kumbe una IPhone..
Hongera 🤗🤗🤗🤗
#YNWA
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niache kidogo basi.. nifanye jambo langu..
Sent using Jamii Forums mobile app
How its empty ?[emoji2371][emoji2371][emoji2371]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Huu ndo utofauti kati ya WhatsApp business na Whatsapp .
unaregister biashara yako tna kuweka bidhaa zako , endapo mtu akikutafuta atapata hizo away messages .
WhatsApp business imekuwa designed for small business owners .View attachment 1999200View attachment 1999202View attachment 1999203
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] Madame weka yako[emoji851]Wote mnajidai home page yenu haina badoo app eeh[emoji23]
[emoji57][emoji57][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] asa hutaki
masimu marefu ka miche ya sabuni
by the way its okey kila mtu na interest zake[emoji847][emoji846]
Jibu mails achaga madharau sister[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Asante kwa elimu ila Dina ni kichaa ukimuona hutaamini[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Hatua ya kwanza, nenda kwenye setting chagua General setting
Hatua ya pili, Bonyeza General setting kisha chagua Date and Time setting
Hatua ya tatu, Bonnyeza hapo Date and time kisha utakuta neno limeandikwa “Set Automatically” ifanye isome “NO”
Hatua ya nne, baada ya kuifanya isome NO kwa chini utaona sehemu ya kurekebisha tarehe mfano leo ni 05 Nov 2021 peleka mwezi mmoja mbele isome 05 Dec 2021.
Baada ya hapo;
- Rudi tena kwenye setting, chagua General
- Baada ya kuchagua General utaona neno “Software update” Ita load then baada ya muda fulani itakuambia ufanye update, ukibonyeza neno update automatocally itaanza ku- update.
- Ikianza ku update rudi kwenye Date and Time chagua Set Automatically ifanye isome “YES”
- Baada ya hapo subili imalize kufanya download then update na hapo simu yako itakuwa updated.
App ya TAKUKURU unafanyia nini??
Online freelancing"UP" kazi yake nini[emoji848][emoji848]
Punguza email kwa kuacha ku "connect" email yako na fb, insta na wengine.Hapana mkuu ina storage ya kutosha 256GB ndo mana unaona bado zipo