EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #441
Dada njoo pm.nikujengee lisanamu k.kooHao wanawake wajengewe sanamu lao pale posta mkuu nakupa tenda hiyo[emoji23][emoji23]
Sasa mtu kila sku hey hey nlkua nakusalmia ya nini hiyo kama sio usumbufu jaman
Ama kweli Ni suala muda Kwa Hisan ya malegend limepita
Dada njoo pm.nikujengee lisanamu k.koo
Katika issue ya sanamu Nina ofa ya kumjengea mtu katika Yale mawe ya ziwa Victoria ikipendeza nitaanza na wewePamoja sana mkuu
Fundi maiko atamamilisha mapeeeema usije.kulalamika hufanani nalo[emoji28][emoji28]Ngoja nije mkuu maana nataka mpaka December sanamu liwe limekamilika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1312][emoji1312]Katika issue ya sanamu Nina ofa ya kumjengea mtu katika Yale mawe ya ziwa Victoria ikipendeza nitaanza na wewe
Haina tofauti na whatsap ya kawaida sema hii inaniruhusu kutuma mafaili makubwa(video ndefu na nk) pia naipenda kwa sababuu aweza customize theme tofauti na whatsap ya kawaidaGb whasap ina kazi gani[emoji848][emoji848]
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Haina tofauti na whatsap ya kawaida sema hii inaniruhusu kutuma mafaili makubwa(video ndefu na nk) pia naipenda kwa sababuu aweza customize theme tofauti na whatsap ya kawaida
Ayo mambo mengne ya kuhide nk mm kwangu hayana maana sana kwangu
Ni suala la kuchukua vitendea kazi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1312][emoji1312]
Katika issue ya sanamu Nina ofa ya kumjengea mtu katika Yale mawe ya ziwa Victoria ikipendeza nitaanza na wewe
Fundi maiko atamamilisha mapeeeema usije.kulalamika hufanani nalo[emoji28][emoji28]
Ni muhimu ili kufanya upembuzi yakinifu make Ni kazi kubwa sana na ya kuigwaMkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikutumie picha yangu chap kabla hujabadilisha mawazo mkuu[emoji38][emoji38]
Ni muhimu ili kufanya upembuzi yakinifu make Ni kazi kubwa sana na ya kuigwa
Ongezea na wa bagamoyo bila kusahau ule wa busisi[emoji23][emoji23][emoji23]kwa kwel mkuu
Maana huu mradi ni mkubwa zaid ule wa SGR
Ongezea na wa bagamoyo bila kusahau ule wa busisi
kivyetu kivyetu zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]wachina lazma wachukue ujuzi kwetu
Maana tutaleta engineers wa kimataifa
[emoji23][emoji23]watatuma had gari..Ngoja bas nifanye utaratibu nieke kapicha kangu watume mihamala mkuu[emoji23][emoji23]
Maiko anafaa[emoji851][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuu ila naona kama fundi maiko anakoseaga vipimo kwanini tusimchukue fundi sele
kivyetu kivyetu zaidi
Maiko anafaa[emoji851]