Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
sipendi kujaza icon homepage,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa mikeka utawajua tu
Sijui Hali ya mtu aliyetuma hizo SMS na hajajibiwa
Sijui Hali ya mtu aliyetuma hizo SMS na hajajibiwa
Anaweza Kuwa anadunda anadunda na mengi moyoniWako poa wanadunda tu duniani mkuu
Basi watakuwa wanadunda na mengi si Kwa buyu hiloWako poa wanadunda tu duniani mkuu
Anaweza Kuwa anadunda anadunda na mengi moyoni
Basi watakuwa wanadunda na mengi si Kwa buyu hilo
Huruma lazima ihusike sisi Ni wmoja usikute nauli na ya kutolea ishatumwa halafu unakata kamba kinachofuata Ni more than pain[emoji23][emoji23][emoji23]mbona unawaonea huruma hivo mkuu
Huruma lazima ihusike sisi Ni wmoja usikute nauli na ya kutolea ishatumwa halafu unakata kamba kinachofuata Ni more than pain
Wamedata na hicho kikatuni mkuu "Hey".[emoji23]Sijala nauli ya mtu bana kama nina nia nakuja kwa gharama zangu
Hao wanatuma hey hey kama wajinga niwajibu nini sasa mkuu
Gb whasap ina kazi gani[emoji848][emoji848]View attachment 2003947View attachment 2003952sina mambo mengi
Boomplyay ina matangazo hadi kero
Wamedata na hicho kikatuni mkuu "Hey".[emoji23]
Wanawake mnaokuja Kwa wito wenu wenyewe bila kusumbuana naona mmebaki wachache Ila hao was hey hey unaosema wanaweza Kuwa watu was connection usichukulie poa
Gb whasap ina kazi gani![]()
![]()
Ama kweli Ni suala muda Kwa Hisan ya malegend limepitaHao wanawake wajengewe sanamu lao pale posta mkuu nakupa tenda hiyo[emoji23![]()