Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

sipendi kujaza icon homepage,

Screenshot_20211109-064558_One UI Home.jpg
 
Huruma lazima ihusike sisi Ni wmoja usikute nauli na ya kutolea ishatumwa halafu unakata kamba kinachofuata Ni more than pain

Sijala nauli ya mtu bana kama nina nia nakuja kwa gharama zangu
Hao wanatuma hey hey kama wajinga niwajibu nini sasa mkuu
 
Wanawake mnaokuja Kwa wito wenu wenyewe bila kusumbuana naona mmebaki wachache Ila hao was hey hey unaosema wanaweza Kuwa watu was connection usichukulie poa
 
Wanawake mnaokuja Kwa wito wenu wenyewe bila kusumbuana naona mmebaki wachache Ila hao was hey hey unaosema wanaweza Kuwa watu was connection usichukulie poa

Hao wanawake wajengewe sanamu lao pale posta mkuu nakupa tenda hiyo[emoji23][emoji23]

Sasa mtu kila sku hey hey nlkua nakusalmia ya nini hiyo kama sio usumbufu jaman
 
Back
Top Bottom