Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

Hii LINKEDIN sijawahi juaga matumizi yake hebu nidokeze mkuu, si unajua sisi BBC[emoji848]
Ni professional networking platform... Inasaidia kupata connection za kaz kirahisi as makampuni yanatangaza kazi pia kwa watu binafsi unapata kujifunza kuhusu mambo mengi kuimprove profession/career yako.

Mwenye uelewa zaid anaweza elezea...
Unaweza jiunga ni nzuri
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] asante mkuu ntaipakua nijisomee

Stay BLESSED [emoji1317]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…