Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Ni professional networking platform... Inasaidia kupata connection za kaz kirahisi as makampuni yanatangaza kazi pia kwa watu binafsi unapata kujifunza kuhusu mambo mengi kuimprove profession/career yako.Hii LINKEDIN sijawahi juaga matumizi yake hebu nidokeze mkuu, si unajua sisi BBC[emoji848]
Mwenye uelewa zaid anaweza elezea...
Unaweza jiunga ni nzuri