Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Mkuu hayo ma-notification simu haijakuwa nzito bado?
Sms 107 email 546?
yatakua yale maSMS ya UTAPELI au ya mganga[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hayo ma-notification simu haijakuwa nzito bado?
Sms 107 email 546?
Kupiga picha na kurekodi video na kuweka filter nzuri ....Snapchat haijawahi mkataa mtu [emoji28]Snapchat ina kazi gani?
[emoji1756][emoji1756]Hakuna mzee ni kazini tu na vingine vichache,though natumia vifaa vingine
Hahaha jamani nyingine hizo pambo tu [emoji28].una sosho midia ming[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] upo uchumi wa kati
[emoji1317][emoji1317]Karibu sana
Ila kwa upande wangu naona ina wafaa wadada zaidi ili waweze kutuvutia sisi wanaume..Kupiga picha na kurekodi video na kuweka filter nzuri ....Snapchat haijawahi mkataa mtu [emoji28]
[emoji1756][emoji1756][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mkuu ninalo moja tu, sometimes naingia huko kupumzisha akili na mwili.
Snapchat ina kazi gani?
Nimefurahi kuiona qouora👍😊
Yes ,wadada ndo inawafaa zaidi .Ila kwa upande wangu naona ina wafaa wadada zaidi ili waweze kutuvutia sisi wanaume..
Naomba tofauti ya WHATSAPP NA BUSINESS WHATSAPP
Dina..VPN master unaitumia kwenye nn?..Kuwa mkweli..
Very beautiful kid[emoji3059][emoji7]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu hayo ma-notification simu haijakuwa nzito bado?
Sms 107 email 546?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kayasoma mpaka kachoka kaona ayaache tu.yatakua yale maSMS ya UTAPELI au ya mganga[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787]una sosho midia ming[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] upo uchumi wa kati
[emoji2960][emoji2960]Una hela ya bundle
[emoji15][emoji15][emoji1312]Anazisomea kwa ndani halafu hafungui
Mtoto mzuri kama wewe huwezi shindwa ku-update kama ni hela ya bando nikutumie vocha PM kwako, jitahidi iwe updated kuna faida nyingi simu ikiwa update mrembo.Sijui kuapdate nifundishe
Akikujib NITAG[emoji854]Snapchat ina kazi gani?