Tatizo la viongozi wa Africa wengi kuripoti ICC ni matumizi mabaya ya madaraka . Viongozi wa africa wengi wao walafi na wabinafsi, ndio maana wakiingia madarakani hawataki kuachia madaraka yao kwa amani mpaka na husababisha mauwaji kama Kenya, Libya na mwingineko ni kosa hata Mungu hataki.
The Holy Bible in Gen. 9:5 says "I created humans to be like me, and I will punish any animal or person that takes a human life. If an animal kills someone, that animal must die. And if a person takes the life of another, that person must be put to death."
Ulaya na Marekani wana democrasia pana, wazi na ya kweli na ndio maana hawapelekwi ICC, na ni wapesi kujiuzuru mara tu wanapokosea au kuamuriwa kujiuzuru madaraka yao.