Tuongee asubuhi live Star TV leo

Tuongee asubuhi live Star TV leo

Paul Mabuga

Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
10
Reaction score
2
Mjadala wa leo: Tunajifunza nini kutokana na yanayojiri katika siasa za Kenya baada ya ICC kuamua kuwa Uhuru Kenyata na wenzake wana kesi ya kujibu. Karibuni
 
Tunajifunza kwamba watu huvuna walichopanda..................................
 
Mkuu Mabuga mimi hii Mahakama Icc inanitaza wanaohukumiwa huko ni Viongozi wa africa tu!! Tumeona ktk vita ya Libya Nato wameua watu wengi bila hatia na action taken kwa Viongozi wa Nato.
 
Mkuu Mabuga mimi hii Mahakama Icc inanitaza wanaohukumiwa huko ni Viongozi wa africa tu!! Tumeona ktk vita ya Libya Nato wameua watu wengi bila hatia na action taken kwa Viongozi wa Nato.

lol kabisa all in all ni wachochezi tu yan wanapalilia moto issue za uku africa!
mm binafsi nawaona wanafiki tu to some extent.
 
Mabuga,hivi ICC haishughulikii na mambo ya ufisadi pia,hasa Tanzania? Itusaidie watanzania maana rasilimali zetu zinapokwa.
 
Na kuhusu vurugu za Kenya Akina Uhuru Kenyata wametolewa Kafala Mwai Kibaki anatokaje ktk zile vurugu!
 
Hivi bwana Bush sio mhalifu wa kivita kweli? Nionavyo ICC ni mahususi kwa ajili yetu tu..kosa akifanya mwafrika bango dunia nzima...wakifanya wao kimya! Let us wait...
 
Huyo jamaa aliyevaa miwani mbona anaongea vitu ambavyo havijui ?
 
Pamoja na kuwasema ICC kwamba wanawahukumu waafrika pekee, ni vyema tuangalie kama makosa ambayo hao waafrika wanashtakiwa nayo ni ya kweli au laaah! Tusifike mahali tukaamini kwamba 'two wrongs make it right!.

Uhuru, Ruto na Muthaura, wamevuna walichopanda. Kama kuna mtu ana ushahidi wa kutosha kumshtaki Kibaki, basi na aupeleke. Maana hata Kenyatta alisema mbona anapelekwa peke yake wakati kuna wengine walitenda huo uovu wameachwa. Hapa ni moja ya eneo ambalo alijikamatisha mwenyewe ICC. Na mshauri wa zamani wa Odinga alishaliongelea wazi kuwa ni ngumu kwa Ruto, Kenyatta na Muthaura kuchomoka ktk kesi hii. Alisema pia kwa Kosgei anaweza asionekane kuwa na kesi ya kujibu. Na kweli imekuwa hivyo
 
Tatizo la viongozi wa Africa wengi kuripoti ICC ni matumizi mabaya ya madaraka . Viongozi wa africa wengi wao walafi na wabinafsi, ndio maana wakiingia madarakani hawataki kuachia madaraka yao kwa amani mpaka na husababisha mauwaji kama Kenya, Libya na mwingineko ni kosa hata Mungu hataki.

The Holy Bible in Gen. 9:5 says "I created humans to be like me, and I will punish any animal or person that takes a human life. If an animal kills someone, that animal must die. And if a person takes the life of another, that person must be put to death."

Ulaya na Marekani wana democrasia pana, wazi na ya kweli na ndio maana hawapelekwi ICC, na ni wapesi kujiuzuru mara tu wanapokosea au kuamuriwa kujiuzuru madaraka yao.
 
Hii ni kweli bwana Mtambuzi, wasijutie hukumu hizi zinazotolewa na ICC, ndio mavuno yenyewe. The Bible says in John, 4:36 "Even now the harvest workers are receiving their reward by gathering a harvest that brings eternal life. Then everyone who planted the seed and everyone who harvests the crop will celebrate together".
 
Mjadala wa leo: Tunajifunza nini kutokana na yanayojiri katika siasa za Kenya baada ya ICC kuamua kuwa Uhuru Kenyata na wenzake wana kesi ya kujibu. Karibuni

Mkuu hatuwapati {Star Tv} kuanzia majira ya Alfajiri mpaka jionì ndio tunawapata. Tatizo ni nini? Kwani pamoja na kubadilisha masafa tatizo limekuwa sugu. Naomba mwongozo wako Mkuu.
 
wait what? chukua hatua achaneni na hela zao hiyo ndiyo ndoano yenyewe! oooh naenda ulaya kuwasemea, sijui nini jumuiya ya ulaya itawashughulikia, IMF,WB , mara WEF, Mara kuvutia wawekezaji etc zote mitego tu!
 
startv tayarisheni kipindi cha tuongee asubuhi .kuhusu sheria za upigaji wa muziki kumbini .mashine za kusaga nafaka na kadhalika katika maeneo ya makazi . tafadhali sana tunateseka sana .viongozi wetu wanakula rushwa tuu .wana ruhusu shunghuli kuendelea katika makazi ya watu .
 
Back
Top Bottom