youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Tuongee mchongo wa freelancing kwa graduate: Kama umemaliza chuo na huna kazi
Kama umemaliza chuo na huna kazi
Unaweza kuanza kufanya freelancing na kupata wateja au kazi kwa kutumia elimu yako ya chuo.
Kwa experience ya miaka 5 ya kufanya freelancing fulltime, nimefanya kazi na clients kutoka USA, Europe, Asia, na hapa hapa Tanzania.
Nimejifunza njia na tricks nyingi sana ambazo graduates wanaweza kutumia kupata mishe za kufanya online.
Ukweli ni huu:
Kusubiri ajira pekee ni kubahatisha, unatakiwa kujaribu bahati nyingi ikiwemo freelancing.
Kwa kujifunza kuuza kama freelancer unaweza kuishi popote, kufanya kazi online, na kupata hela kwa hizo skills ulizosoma chuo.
Na sio lazima uwe na degree ya IT
Tafuta trending skill yoyote
Mfano
✅ Graphic design
✅ Content writing
✅ Social media management
✅ Video editing
✅ Digital marketing
✅ Coding & web design
✅ Copywriting
✅ Translation
Kama ni ngumu hizo tumia ulizojifunza chuoni
Jifunze kupitia YouTube ni free
Unapoanza freelancing, usisubiri mpaka upate kazi ndo ujifunze.
Wateja watakufata wenyewe
Fanya project zako binafsi zitumie kama sample.
Kama ni designer, tengeneza posters kwa brand za watu.
Kama ni copywriter, andika matangazo ya wafanyabiashara.
watakuja wenyewe.
Post kila unachofanya
Post Instagram
Post LinkedIn
Post Medium
post TikTok
Kulingana na aina ya kazi yako.
Watu watakuona watakupatia pesa zao.
The Internet rewards those who show up.
Usikae tu ukisubiri clients wakufate DM:
➡️ Tafuta mabosi kwenye Instagram, LinkedIn, au whtsapp wasumbue watumie meseji.
➡️ Ukituma DM onyesha jinsi utakavyowasaidia, onyesha kazi zako.
Sio rahisi ila tunafanya hivyo kila siku.
Jifunze namna ya kuwasiliana na clients, na kupangilia bei za huduma zako.
Usiogope kusema bei.
Tengeneza package za bei zako
Jifunze kutumia Office-Tools Slack, Google Office Tools, meeting apps
Nimeweza kufanya kazi na brand tofauti za, crypto, ecommerce, gaming, SAS, kutumia digital marketing skills kuwaletea wateja.
Na nimejenga agency yangu ya Victoria Agency kwa kutumia skills nilizopata kwenye freelancing na hioz strategy nilizokuandikia.
Na wewe pia unaweza kufanya makubwa zaidi.
Usisubiri ajira, jiongezee value yako kwa kujifunza digital skills.
Tumia muda kujifunza.
Ukihitaji msaada jinsi ya kuanza
📲 Nicheki WhatsApp hapa
👉 wa.me/+255693880325